15 May 2026
Kiboko
Kiboko huishi majini lakini hutoka nje usiku kutafuta chakula.
Biblia: “Msifananishwe na dunia hii.” (Warumi 12:2)
“Mkristo aishi duniani lakini asiwe wa dunia.”
— The Desire of Ages, uk. 509
Somo: Ishi duniani lakini usifuate njia za dunia.