Kuhusu Uzima Milele
Huduma ya Kidijitali kwa Biblia, Afya na Jamii
Uzima Milele ni huduma ya Kikristo inayotumia mifumo ya kidijitali kutoa mafundisho ya Biblia, afya na maisha ya kiroho kwa lugha ya Kiswahili.
Lengo letu ni kuwafikia watu wengi zaidi kwa ujumbe wa tumaini, wokovu na ukuaji wa kiroho kupitia nyenzo rahisi na zinazopatikana mtandaoni.
Fahamu ZaidiTafakari
Tafakari za Karibuni
Soma ujumbe wa kiroho unaokusaidia kukua katika imani kila siku.
17 May 2026
Pundamilia
Pundamilia ana mistari ya kipekee inayomtofautisha na wengine.Biblia: “Nimekuumba kwa jinsi ya ajabu.” (Zaburi 139:14)“K...
16 May 2026
Twiga
Twiga ni mnyama mrefu kuliko wote na huangalia mbali zaidi kuliko wengine.Biblia: “Tafuteni yaliyo juu.” (Wakolosai 3:2)...
15 May 2026
Kiboko
Kiboko huishi majini lakini hutoka nje usiku kutafuta chakula.Biblia: “Msifananishwe na dunia hii.” (Warumi 12:2)“Mkrist...
Masomo ya Biblia
Jifunze Biblia Hatua kwa Hatua
Fuata masomo yaliyopangwa kwa urahisi, jifunze mada muhimu za Biblia, fuatilia maendeleo yako na ukue katika maarifa ya Neno la Mungu.
Anza KujifunzaUzima Milele Watoto
Watoto Wajifunze Biblia kwa Njia Rahisi
Sehemu maalum kwa watoto kujifunza kuhusu Yesu, Biblia, maadili na ukuaji wa kiroho kupitia video na masomo rahisi.
Twende Tukasome
Maombi na Ushuhuda
Unahitaji Maombi?
Tuma ombi lako la maombi kwa timu ya Uzima Milele. Tunaamini Mungu bado anasikia na kujibu maombi.
Tuma Ombi la Maombi