Maombi na Ushuhuda
Tuma ombi lako la maombi kwa Uzima Milele. Tupo hapa kukuombea kwa upendo na uaminifu.
Karibu Uzima Milele
Mungu Bado Anasikia Maombi
Tunaamini kuwa maombi yana nguvu. Unaweza kutuma ombi lako kwa faragha, nasi tutakuombea kwa upendo, siri na uaminifu.
“Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.”
Yeremia 33:3
Tuma Ombi la Maombi
Jaza taarifa zako na ombi lako hapa chini. Sehemu zenye alama ya nyota ni lazima kujazwa.