Tafakari zote
Tafakari ya Leo

Tai (Eagle)

20 Aug 2026

Kipengele: Ana mabawa yenye nguvu na hutumia mikondo ya hewa kupaa juu.
Somo: Tunapomtegemea Mungu, tunaweza kupata nguvu mpya hata tunapokuwa tumechoka.

Biblia: “Wamngojao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mabawa kama tai.” — Isaya 40:31

Ellen G. White:

“You can learn from the eagle what to do when you are discouraged.”

Reference: Education, p. 118. 

Shiriki Tafakari

Shiriki ujumbe huu na rafiki au familia.

WhatsApp Facebook