KUHUSU
Uzima Milele
Uzima Milele ni Huduma ya Kikristo isiyo ya faida ambayo hutoa elimu ya Biblia, Afya na Jamii kupitia mifumo ya kidijitali kwa lugha ya Kiswahili, ikilenga zaidi ya watu milioni 100 wanaoishi katika nchi zinazozungumza Kiswahili Kusini mwa Jangwa la Sahara.
MASOMO
Ya Biblia
-
Mafundisho ya Biblia
Kupitia masomo haya ya Biblia utafahamu dhumuni la mwanadamu hapa duniani, chanzo cha uasi mbinguni na nini tufanye ili kuirithi nchi ya ahadi.
Uzima Milele
Watoto
Yesu anawataka watoto wadogo waje kwake, kwa maana ufalme wa Mbingu ni wao. Karibu Uzima Milele Watoto tujifunze pamoja.

Vitabu vya
Mwezi
Wakati taabu itakapokoma
Hivi karibuni nimegundua kwamba watu wengi zaidi na zaidi wanahangaishwa na siku zijazo....
Ujumbe kwa vijana
Mwandishi wa kitabu hiki anasema anashauku kubwa kwa ajili ya vijana, na anatamani sana kuwaona...
Tumaini la vizazi vyote
Tangu mwanzo wa historia ya ulimwengu watu wote, waume kwa wake, wamekuwa wakitazamia viongozi wakuu...