Kangaroo huruka mbele na hawezi kurudi nyuma kwa urahisi. Hubeba mtoto wake kwa ulinzi mkubwa.
Biblia: “Nikiyasahau yaliyo nyuma, nikiyachuchumilia yaliyo mbele.” (Wafilipi 3:13)
“Maisha ya Mkristo ni safari ya kusonga mbele kwa imani.”
— Testimonies for the Church, Vol. 5
Somo: Mkristo anatakiwa kusonga mbele bila kurudi nyuma.
