
Hiki kitabu kinatuonyesha nguvu ya uponyaji ya vyakula.
- Afya na ustawi wetu hutegemea chakula tulacho kila siku zaidi ya kitu kingine chochote.
- Ingawa baadhi ya vyakula vyaweza kuwa chanzo cha magonjwa, vingine vina uwezo wa kuzuia, au hata kuondoa maradhi yetu.
- Tabibu mtafiti na mwandishi mwenye uzoefu wa hali ya juu, Dr. Pamplona-Roger, ana eleza kwa ufasaha na usahihi wa kisayansi muundo, sifa za kiuponyaji na matumizi ya karibia vyakula bora kabisa mia moja.
- Desturi ya kuvitumia inafanya kazi kama dawa nyingi zinavyofanya kazi na tiba zingine za kiafya.
- Kwa nyongeza kiashiria kimetolewa juu ya chakula hasa kinachopaswa kuliwa kwa sababu ya manufaa yake na chakula kipi kingeepukwa wakati tunaposumbuliwa na baadhi ya magonjwa na maradhi yaliyoenea sana.
KITABU HIKI KITASAIDIA KUELEWA NI VYAKULA VIPI VYENYE NGUVU KUBWA ZAIDI YA KITIBA NA KUFURAHIA KUVITUMIA PIA.
Mwandishi: Pamplona-Roger