Dunia yetu hii ilifikiaje hali ya kuvurugika vibaya kiasi hiki? Kwa nini kuna mateso? Uovu ulitoka wapi?
Dunia yetu hii ilifikiaje hali ya kuvurugika vibaya kiasi hiki? Kwa nini kuna mateso? Uovu ulitoka wapi?
Afya na ustawi wetu hutegemea chakula tulacho kila siku zaidi ya kitu kingine chochote.Ingawa baadhi,
Ninaamini hivi karibuni tutaingia katika kipindi kikuu cha taabu ambacho ulimwengu wetu haujawahi kupitia.
Waandishi wengi wameandika kwa ustadi mkubwa juu ya MAPISHI ya vyakula, lakini bado kuna upungufu,
Kupitia masomo haya ya Biblia utafahamu dhumuni la mwanadamu hapa duniani, chanzo cha uasi mbinguni na nini tufanye ili kuirithi nchi ya ahadi.